Pre GE2025 Mbunge Aida Khenani Apokelewa Kwa Kishindo Jimboni kwake Nkasi Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia tiketi ya CHADEMA, Aida Khenani apokelewa kwa kishindo Jimboni kwake akielekea kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani ambako leo Machi 04, 2025 Wanawake wa chama hicho Nkasi Kaskazini wameadhimisha katika Kata ya Kirando mkoani Rukwa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Yaani mkoa wa Rukwa uliipokea Chadema utadhani ilizaliwa kule, tena kama huo ukanda wa ziwa Tanganyika ni balaa na nusu ni vile maccm yanaibaga kura lakini kule hayawezi kushinda hata Kitongoji 1
 
Huyu ndio magu alishindwa kumuwekea kauzibe?
 
Nafikir anamjibu jamaa mmoja aliesema Ubunge wake ni wa kupewa...

It was indeed a Very loose statement..

Time to shine Aida.. keep shinning darling.. usiachie jimbo hilo.
 
Na kuwa hajachangia chochote Bungeni.

Amandla..
 
Back
Top Bottom