Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia tiketi ya CHADEMA, Aida Khenani apokelewa kwa kishindo Jimboni kwake akielekea kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani ambako leo Machi 04, 2025 Wanawake wa chama hicho Nkasi Kaskazini wameadhimisha katika Kata ya Kirando mkoani Rukwa.

Yaani mkoa wa Rukwa uliipokea Chadema utadhani ilizaliwa kule, tena kama huo ukanda wa ziwa Tanganyika ni balaa na nusu ni vile maccm yanaibaga kura lakini kule hayawezi kushinda hata Kitongoji 1