Bulamba JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 13,741 Reaction score 13,049 Jul 29, 2021 #21 Gagnija said: Chama kikiona ana kosa kimfukuze kama walivyofukuzwa hao mnaowaita covid19. Click to expand... kwani kenani yeye hataki katiba mpya??
Gagnija said: Chama kikiona ana kosa kimfukuze kama walivyofukuzwa hao mnaowaita covid19. Click to expand... kwani kenani yeye hataki katiba mpya??
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Jul 29, 2021 #22 Fundi Mchundo said: Kwa mawazo yangu ni bora angetangaza kujitoa kwenye chama chake ili aweze kuwatumikia vizuri wananchi wa Nkasi ambao alisema walimchagua yeye na sio chama chake. Click to expand... Kwa mawazo hayo ndio mana chama chenu hakiendelei
Fundi Mchundo said: Kwa mawazo yangu ni bora angetangaza kujitoa kwenye chama chake ili aweze kuwatumikia vizuri wananchi wa Nkasi ambao alisema walimchagua yeye na sio chama chake. Click to expand... Kwa mawazo hayo ndio mana chama chenu hakiendelei
G Gagnija Platinum Member Joined Apr 28, 2006 Posts 12,620 Reaction score 12,109 Jul 29, 2021 #23 mzee74 said: kwani kenani yeye hataki katiba mpya?? Click to expand... Wewe huitaki?!