Mbunge aivaa Serikali kuhusu Wastaafu, ahoji kwanini wanaotumikia Nchi hii wanakufa wakidai hela

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mbunge Mwita Getere ameitaka Serikali kutafuta Mfumo thabiti ili Wastaafu waweze kupata Fedha zao akisema "Watu wanakufa wanadai hela. Kwanini mtu ametumikia Nchi hii anakufa anadai hela?"

Ameongeza, "Suala la Wastaafu ni kero kubwa katika Nchi yetu. Serikali inatakiwa kujitahidi kwenye suala hili kwani Wastaafu wanaolia na kwenda kwenye Maofisi ni wengi kuliko ilivyo kawaida"

Chanzo: BUNGE
 
NSSF Fao la Kujitoa katili na roho mbaya zaidi ya shetani walaaniwe....
 
Kwa Hilo,nilitarajia mbunge mmoja apeleke hoja binafsi na iungwe mkono na wabunge wengi,lakini mhhhhhhh
 
Mbunge Mwita Getere ameitaka Serikali kutafuta Mfumo thabiti ili Wastaafu waweze kupata Fedha zao akisema "Watu wanakufa wanadai hela. Kwanini mtu ametumikia Nchi hii anakufa anadai hela?"

Ameongeza, "Suala la Wastaafu ni kero kubwa katika Nchi yetu. Serikali inatakiwa kujitahidi kwenye suala hili kwani Wastaafu wanaolia na kwenda kwenye Maofisi ni wengi kuliko ilivyo kawaida"

Chanzo: BUNGE
Hizo pesa mazuzu wanazotumia hapo ni hasara kwa walipa kodi ya miamala ya simu na Kodi mbali mbali aisee.
Ni heri pesa hizo wangetunulia kondom walipa kodi kuliko mazuzu kugonga gonga meza halafu yanasahau hata Sheria walizo pitisha wenyewe.
 
Wacha tu Mkuu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom