Kipi kipaumbele kumlipa mstaafu au kumlipa mpinzani aunge juhudi ili asiendelee kuwasemea wastaafu.Nani anajali?
HakunaNani anajali?
Kazi IendeleeKipi kipaumbele kumlipa mstaafu au kumlipa mpinzani aunge juhudi ili asiendelee kuwasemea wastaafu.
Huko walipo moto wa jehanamu makali yaongezekeWatanzania kudharauliana imekua dhambi ya asili.
Inakuaje unashikilia hela za mtu afanye kukufuatafuata kama ombaomba?
Inaudhi sana
Tena mawe na petrol bila kukosekana vilipuzi na mizinga viongezwe huko. Madhulumati wakakomeHuko walipo moto wa jehanamu makali yaongezeke
Nani anajali?
Hizo pesa mazuzu wanazotumia hapo ni hasara kwa walipa kodi ya miamala ya simu na Kodi mbali mbali aisee.Mbunge Mwita Getere ameitaka Serikali kutafuta Mfumo thabiti ili Wastaafu waweze kupata Fedha zao akisema "Watu wanakufa wanadai hela. Kwanini mtu ametumikia Nchi hii anakufa anadai hela?"
Ameongeza, "Suala la Wastaafu ni kero kubwa katika Nchi yetu. Serikali inatakiwa kujitahidi kwenye suala hili kwani Wastaafu wanaolia na kwenda kwenye Maofisi ni wengi kuliko ilivyo kawaida"
Chanzo: BUNGE
Wacha tu MkuuHizo pesa mazuzu wanazotumia hapo ni hasara kwa walipa kodi ya miamala ya simu na Kodi mbali mbali aisee.
Ni heri pesa hizo wangetunulia kondom walipa kodi kuliko mazuzu kugonga gonga meza halafu yanasahau hata Sheria walizo pitisha wenyewe.
PSSSF inaidai Serikali trilioni 4.6, yasuasua kuwalipa wastaafu
Hii mifuko inabidi iwekewe sheria kali kwa wanasiasa kujichotea hela kutimiza miradi yao iliyokwama au nakisi ya bajeti kwa gharama ya wastaafu. Hawa wazee wamekuwa wanapeleka michango yao miaka yao yote ya kuchakarika mpaka nguvu zimewaisha kwa mategemeo zije ziwasaidie, tuheshimu pesa za...www.jamiiforums.com