MBUNGE ALIA: - "Magufuli awe Rais wa Maisha Jamani"

MBUNGE ALIA: - "Magufuli awe Rais wa Maisha Jamani"

Status
Not open for further replies.

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045


RUKA KWA 4.00
MBUNGE ALIA! "Magufuli awe Rais wa Maisha Jamani" Mbunge wa Njombe Mjini kwa tiketi ya CCM Deo Sanga amesema kuwa angependa kuona Rais Magufuli anatawala milele kama ilivyokuwa kwa marais wa nchi nyingine kama China ili kutekeleza maono yake katika kuijenga Tanzania Mpya. #JPM #BUNGENI

NDIO BABA,TUNAUNGA MKONO HOJA. ONLY IN TANZANIA!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ukiona mtu yeyote anaishabikia ccm ujue ana maslahi binafsi!
 
Kwani kichaa jiwe ana mpango wa kuishi milele kama Mungu wetu wa milele?
What a cheap shameless political prostitute !
 
Una haki ya kusema hivyo mkuu maana sio kwa kuvimbiwa huko.
 
🤣kanifurahisha saana huyu🤣mbunge nae anategemea kupewa hata ka ukuu wa wilaya🤣
Kutokana na hali ya sasa kuwa ni bora ya leo kuliko jana,!!sasa kila mmoja anapambana kivyake🤣
Ukistaajabu ya Musa ya Neema utayashangaa zaidi[emoji1321]‍♂️
 
Haaa yaani hili pimbi sijui limeshiba makande amchukue akamtawale mke wake nyumbani kwake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom