RUKA KWA 4.00
MBUNGE ALIA! "Magufuli awe Rais wa Maisha Jamani" Mbunge wa Njombe Mjini kwa tiketi ya CCM Deo Sanga amesema kuwa angependa kuona Rais Magufuli anatawala milele kama ilivyokuwa kwa marais wa nchi nyingine kama China ili kutekeleza maono yake katika kuijenga Tanzania Mpya. #JPM#BUNGENI
NDIO BABA,TUNAUNGA MKONO HOJA. ONLY IN TANZANIA!!!!
🤣kanifurahisha saana huyu🤣mbunge nae anategemea kupewa hata ka ukuu wa wilaya🤣
Kutokana na hali ya sasa kuwa ni bora ya leo kuliko jana,!!sasa kila mmoja anapambana kivyake🤣
Ukistaajabu ya Musa ya Neema utayashangaa zaidi[emoji1321]♂️