EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Chongolo anatakiwa kuwa na hekima Sana ktk kuwajibu wabunge wa chama chake. Huyu ni mbunge, ana hadhi yake. Hata kama hoja yake inaleta maudhi lkn Chongolo kwa nafasi yake hakupaswa kutoa majibu ya kidikteta kiasi hiki.na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo
Kumbe mlipanga kuandamanaWatakuwa wamedukua mitambo yetu na kusikia kwamba tarehe 1 Julai tunaandamana nchi nzima ili kuwafurusha woooooooote Mjengoni pamoja na timu yote huko juu ya Bi Mkubwa wao.
Kwani alichaguluwa na wananchi? Huyu ni zao la uchafuzi mkuu.
Anzeni kugombana mwisho mtaanzisha chama kipya Cha siasa.Chongolo anatakiwa kuwa na hekima Sana ktk kuwajibu wabunge wenzake. Huyu ni mbunge, ana hadhi yake. Hata kama hoja yake inaleta mwudhi lkn Chongolo kwa nafasi yake hakupaswa kutoa majibu ya kidikteta kiasi hiki.
Tisizilee kauli za kibabe kiasi hiki.
Imetibuka hiko kitu, sasa hakuna namna; lazima tusonge mbele tu, maana lengo halijabadilika. Au nasema uongo ndugu zangu!???Kumbe mlipanga kuandamana
Mle Mjengoni wabaki wawili tu, majina nimeyahifadhi kwa sasa 🙂Warning::
Wabunge wote waachie ngazi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watakuwa wamedukua mitambo yetu na kusikia kwamba tarehe 1 Julai tunaandamana nchi nzima ili kuwafurusha woooooooote Mjengoni pamoja na timu yote huko juu ya Bi Mkubwa wao.
Aende akaendelee na kazi yake ya uchimbaji "gold digger"Huyu ni mchimbaji wa dhahabu. Ubunge mnampotezea muda na kumsababishia ugomvi na wananchi wake.
Tuliwaambia watu kwamba awamu hii ya Bi Mkubwa ni ya kumwabudu Malkia, wakanikatalia katu katu. Sasa je!???Daniel Chongolo lugha ya Malkia huwa inapanda?
Kuleana ndiko kunakoliangamiza taifa, kwanini yeye hakutumia hekima kuomba nyongeza ya mshahara huku akijua mwalimu anapata laki 3 kwa mwezi wakati yeye anaipata kwa siku.Chongolo anatakiwa kuwa na hekima Sana ktk kuwajibu wabunge wa chama chake. Huyu ni mbunge, ana hadhi yake. Hata kama hoja yake inaleta maudhi lkn Chongolo kwa nafasi yake hakupaswa kutoa majibu ya kidikteta kiasi hiki.
Tisizilee kauli za kibabe kiasi hiki.