Mbunge aliyehukumiwa kwa uhujumu uchumi na kulipa faini ashangiliwa na wanaccm kwa kutekeldza vizuri Ilani ya CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni

Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM.

Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge wengine waliojieleza ni Stephen Masele na Lucy Mahyenga.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Kweli maendeleo hapana chama !! Daaaa hakutakiwa hata kusimama mbele umati angejipoteza milele !! Maana yake wana support maovu yake au alitumwa???
 
Kukiri kwake na kulipa fine tayari ana "CRIMINAL RECORD/REKODI YA JINAI" sasa sijui sheria itafuatwa, kwamba mtu mwenye rekodi ya jinai hatakiwi kugombea wala kuomba kazi wala kushika nyadhifa yoyote inayohusu kazi za umma.

Au ndio atasafishwa kwa uongo, na tutaendelea kuzibaka katiba na sheria za nchi kama kawaida yetu.
 
Huyo alikuwa anaaga wapigakura. Bungeni harudi msimu huu.
 
Duh ndo maana Mwalimu Nyerere aliamua Kuwaiti Hamid time mabeberu wampe uhuru wa mezani maana hawa Watanganyika wangemtosa tu.Kuna makabila ya ovyo sana Tanganyika
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni

Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM.

Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge wengine waliojieleza ni Stephen Masele na Lucy Mahyenga.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Ndiyo mjijue kuwa Twaweza hawakukosea kwenye tafiti zao
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni

Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM.

Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge wengine waliojieleza ni Stephen Masele na Lucy Mahyenga.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Ndege wanaofanana hawaachani. CCM ni ile ile...
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni

Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM.

Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge wengine waliojieleza ni Stephen Masele na Lucy Mahyenga.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Bure kabisa
 
CCM na Chambi mbele kwa mbele. Hakuna cha kushangaza hapo!!!!
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni

Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM.

Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge wengine waliojieleza ni Stephen Masele na Lucy Mahyenga.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Hakuulizwa juu ya kukutwa na Nyara za Serikali au nalo walimshangilia?
 
Bashiru na Polepole mmechemka kwa kumkumbatia mbunge jangili na muhujumu uchumi.Mkiambia CCM ina wenyewe mnabishi.
Ukiwa unakiwezesha chama kwao unakua bora,nchi kwao sio kipaumbele zaidi ya ccm yao
 
Back
Top Bottom