johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bashiru na Polepole mmechemka kwa kumkumbatia mbungejangili na muhujumu uchumi.Mkiambia CCM ina wenyewe mnabishi.
Mbona mbunge kapokelewa kwa shangwe ?Practice what you preach !Ni mapema kuwahukumu. Tusubiri kama jina lake litarudi. Siamini kama watalipitisha!
Ndiyo mjijue kuwa Twaweza hawakukosea kwenye tafiti zaoUkistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni
Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM.
Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge wengine waliojieleza ni Stephen Masele na Lucy Mahyenga.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Ndege wanaofanana hawaachani. CCM ni ile ile...Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni
Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM.
Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge wengine waliojieleza ni Stephen Masele na Lucy Mahyenga.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Bure kabisaUkistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni
Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM.
Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge wengine waliojieleza ni Stephen Masele na Lucy Mahyenga.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... !Bure kabisa
Hakuulizwa juu ya kukutwa na Nyara za Serikali au nalo walimshangilia?Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni
Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM.
Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge wengine waliojieleza ni Stephen Masele na Lucy Mahyenga.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Kila alichoongea alikuwa anashangiliwa tu utadhani ni mkutano wa Chadema!Hakuulizwa juu ya kukutwa na Nyara za Serikali au nalo walimshangilia?
Hao ndio wale wa Tshirt na elfu mbili mbili.Mbona mbunge kapokelewa kwa shangwe ?Practice what you preach !
Ukiwa unakiwezesha chama kwao unakua bora,nchi kwao sio kipaumbele zaidi ya ccm yaoBashiru na Polepole mmechemka kwa kumkumbatia mbunge jangili na muhujumu uchumi.Mkiambia CCM ina wenyewe mnabishi.