Its OK kufukuzwa bungeni kama dressing code inakataza kuvaa hereni la sivyo ni kumwonea tuu na kuonyesha jinsi tusivyoheshimu differences btn ourselves na kujidai eti kuvaa hereni ni kuiga culture za watu is just nonsense kwani hizo suit,viatu,tie,saa etc vyote si tumeletewa na hao western? sioni debate hapa zaidi ya kuangalia dressing code inasemaje.
kama anapenda hereni angvaa za wamasai ,akavaa kimasai kabisa labda ningemtetea kuwa ni wazo zuri kuingiza vazi laasili la kiafrika bungeni
...hivi heleni anatakiwa avae mwanamke au mwanamme?? let us be honest and open