GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Feb 3, 2024 #1 Tanganyika will never die! Ina watetezi uraiani na kwingineko! Msikie huyu Mbunge alivyochachamaa kuitetea. Your browser is not able to display this video.
Tanganyika will never die! Ina watetezi uraiani na kwingineko! Msikie huyu Mbunge alivyochachamaa kuitetea. Your browser is not able to display this video.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Feb 3, 2024 #2 Miaka nenda sasa Tanganyika inanyonywa damu yake na kupe anayeitwa Zanzibar. Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
Miaka nenda sasa Tanganyika inanyonywa damu yake na kupe anayeitwa Zanzibar. Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 3, 2024 #3 Jimbo la Chadema hilo 🐼
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Feb 3, 2024 Thread starter #4 Nimefurahi aliposema "Serikali ya Tanganyika"
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 20,654 Reaction score 35,887 Feb 3, 2024 #5 GoldDhahabu said: Tanganyika will never die! Ina watetezi uraiani na kwingineko! Msikie huyu Mbunge alivyochachamaa kuitetea. View attachment 2893077 Click to expand... Mmoja kati ya Wabunge wanaojitambua
GoldDhahabu said: Tanganyika will never die! Ina watetezi uraiani na kwingineko! Msikie huyu Mbunge alivyochachamaa kuitetea. View attachment 2893077 Click to expand... Mmoja kati ya Wabunge wanaojitambua
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Feb 3, 2024 #6 GoldDhahabu said: Tanganyika will never die! Ina watetezi uraiani na kwingineko! Msikie huyu Mbunge alivyochachamaa kuitetea. View attachment 2893077 Click to expand... Hivi ndivyo vichwa tunavitaka bungeni
GoldDhahabu said: Tanganyika will never die! Ina watetezi uraiani na kwingineko! Msikie huyu Mbunge alivyochachamaa kuitetea. View attachment 2893077 Click to expand... Hivi ndivyo vichwa tunavitaka bungeni
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Feb 3, 2024 #7 Tafadhali weka na ile ya kuwakusanya kisiwa kizima kwa filimbi na kuwazungukia kwa baiskeli kwa masaa mawili kisiwa kizima
Tafadhali weka na ile ya kuwakusanya kisiwa kizima kwa filimbi na kuwazungukia kwa baiskeli kwa masaa mawili kisiwa kizima