Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mbunge wa Vijana, Mhe. Amina Ali Mzee amewaomba vijana wa Tanzania kujitokeza kwa wingi tarehe 04/02/2025 katika CCM @48 Marathon & Bash iliyoandaliwa na UVCCM kwa ajili ya kuchangia Damu 🩸 kwa ajili ya kuokoa maisha ya watu ambao wana uhitaji wa kuongezewa damu.
Pia, amewakaribisha katika shughuli nyingine zitakazokuwepo siku hiyo ya sherehe kama kuchoma nyama, vinywaji, kukimbia, kujifunza na kuonyesha vipaji yote haya ni shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa CCM.