Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mbunge wa Uganda, Sarah Opendi, amependekeza kutungwa sheria inayowaruhusu wanandoa wapya, ambao hawajafanya mapenzi ndani ya miezi sita, kuvunja ndoa zao.
Aidha, Opendi alipendekeza kwamba watu wanaoomba kurejeshewa zawadi za ndoa wanapaswa kufungwa jela au kutozwa faini.
Aidha, Opendi alipendekeza kwamba watu wanaoomba kurejeshewa zawadi za ndoa wanapaswa kufungwa jela au kutozwa faini.