Pre GE2025 Mbunge Arumeru Magharibi azomewa msibani, asema wananchi wasitake laana kwa kumzomea kiongozi!

Pre GE2025 Mbunge Arumeru Magharibi azomewa msibani, asema wananchi wasitake laana kwa kumzomea kiongozi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mbunge wa Arumeru Magharibi Noah Lembris amezomewa msibani na wananchi sababu ubovu wa barabara za jimboni kwake kisema si mbunge amesababisha barabara hizo kuwa mbovu. Hata hivyo mbunge huyo ameendelea kwa kusema kumzomea kiongozi aliyesimama kuongea ni kujitafutia laana.

Kupata mijadala ya uchaguzi mikoa yote Bara na Zanzibar ingia hapa: Kuelekea 2025 - Arusha: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mbunge wa Arumeru Magharibi Noah Lembris amezomewa msibani na wananchi sababu ubovu wa barabara za jimboni kwake kisema si mbunge amesababisha barabara hizo kuwa mbovu. Hata hivyo mbunge huyo ameendelea kwa kusema kumzomea kiongozi aliyesimama kuongea ni kujitafutia laana.
View attachment 3196729
Nzuri sana hii, wananchi wameanza kuamka sasa, Yani kiongozi unaleta porojo kwenye msiba wakati hujafanya chochote jimboni kwako. Heshima haiombwi, heshima inatengenezwa.
 
Zero brain kweli...))
Anatishia laana hao wananchi ni wanawe wa kuwazaa??
Mwambieni anilaani na mm pia.
 
Mbunge kumlaumu kwasabb ya UBOVU wa barabara ni ujinga wa wananchi.
 
Back
Top Bottom