The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Nzuri sana hii, wananchi wameanza kuamka sasa, Yani kiongozi unaleta porojo kwenye msiba wakati hujafanya chochote jimboni kwako. Heshima haiombwi, heshima inatengenezwa.Mbunge wa Arumeru Magharibi Noah Lembris amezomewa msibani na wananchi sababu ubovu wa barabara za jimboni kwake kisema si mbunge amesababisha barabara hizo kuwa mbovu. Hata hivyo mbunge huyo ameendelea kwa kusema kumzomea kiongozi aliyesimama kuongea ni kujitafutia laana.
View attachment 3196729
Anajitetea kwa kutishia laana wananchiNzuri sana hii, wananchi wameanza kuamka sasa, Yani kiongozi unaleta porojo kwenye msiba wakati hujafanya chochote jimboni kwako. Heshima haiombwi, heshima inatengenezwa.