Naomba niungwe tu kwenye hiyo kamati, ninao mwarobaini wa tatizo la kilimo Tanzania, siwezi kuandika sana lakini naahidi kwamba mtaona tofauti kubwa kati ya sasa na kilimo baada ya hii kamati, tutajivunia tena kuwa na wakulima wanao nufaika na wenye tija na uwezo kamilifu, uwezo ninao kwakuwa nimeelimika kwa kiasi cha kiwango cha wastani mzuri na ninajua historia nyingi za mabadiliko ya kiuchumi wa kilimo duniani.Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniface Getere, amesema haiwezekani kuzungumza habari ya Kilimo cha Pamba, Korosho na Alizeti miaka nenda rudi, lakini hakuna kinachotatuliwa...
CCM Wana kilimo cha online
Umewahi kulima nini?Naomba niungwe tu kwenye hiyo kamati, ninao mwarobaini wa tatizo la kilimo Tanzania, siwezi kuandika sana lakini naahidi kwamba mtaona tofauti kubwa kati ya sasa na kilimo baada ya hii kamati, tutajivunia tena kuwa na wakulima wanao nufaika na wenye tija na uwezo kamilifu, uwezo ninao kwakuwa nimeelimika kwa kiasi cha kiwango cha wastani mzuri na ninajua historia nyingi za mabadiliko ya kiuchumi wa kilimo duniani.
Alafu anajitokeza mbunge wa promotion anakuambia eti iundwe kamati.Sasa mbona sababu iko wazi kabisa! Ni CCM na serikali yake ndiyo chanzo cha yote hayo.
Kilimo kinahitaji uwekezaji, kitu ambacho serikali za CCM haiko serious nacho. Miaka 5 tu wameweza kununua mandege tena "keshi", karibu trillion 1.5, imagine hizo pesa zingepelekwa kwenye umwagiliaji, mechanisation na kuongeza thamani ya mazao; tungekuwa mbali. Kupanga ni kuchagua, sisi tumechagua ndege.
Unao mfano wa shamba unaloweza kutuonyesha?Naomba niungwe tu kwenye hiyo kamati, ninao mwarobaini wa tatizo la kilimo Tanzania, siwezi kuandika sana lakini naahidi kwamba mtaona tofauti kubwa kati ya sasa na kilimo baada ya hii kamati, tutajivunia tena kuwa na wakulima wanao nufaika na wenye tija na uwezo kamilifu, uwezo ninao kwakuwa nimeelimika kwa kiasi cha kiwango cha wastani mzuri na ninajua historia nyingi za mabadiliko ya kiuchumi wa kilimo duniani.
Mkuu 'JokaKuu', tusaidiane hili swali, maana linanitatiza kila mara...ktk bajeti ijayo serikali imepanga kutumia zaidi ya billion 400 kwa ajili ya ununuzi wa ndege mpya.
Ni aibu sana, kilimo kinatengewa hela ndogo, na bado haziendi zote. Ila kwenye ndege tupo serious, hakuna ku-miss beat wala note. Mazingira yamebadilika big time, seasons hazieleweki. Kilimo cha kutegemea mbingu zifunguke, muda si mrefu kitakuwa hakiwezekani, ndio tutajua hatuwezi kula engine parts...ktk bajeti ijayo serikali imepanga kutumia zaidi ya billion 400 kwa ajili ya ununuzi wa ndege mpya.