Mbunge ataka wazabuni wanaoidai STAMICO kulipwa, ataka Serikali iache kigugumizi

Mbunge ataka wazabuni wanaoidai STAMICO kulipwa, ataka Serikali iache kigugumizi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mbunge wa Jimbo la Mkinga, Dunstan Kitandula amesema bado kuna madeni makubwa ya Wazabuni waliofanya kazi STAMICO na Kampuni zake tanzu. Asema zoezi la Serikali kutathmini madeni hayo limefanywa kwa muda mrefu

Amesema, "Vyombo vyetu vimefanya kazi hii, Tuache kigugumizi cha kuwalipa wazabuni wale. Twende tukawalipe kwa haki tusitumie ujanja wa kukwepa madeni"
 
Back
Top Bottom