Pre GE2025 Mbunge atakayerudi bungeni namuona Waitara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mtumishiwetu

Senior Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
196
Reaction score
346
Niangalia Bunge linavyokwenda na uchawa ulivyoshika kasi Mbunge ambaye naona ana uhakika wa kurudi bungeni kama upepo usipokuwa mbaya ni Waitara, Kingu, Msukuma na Shigongo.

uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana
 
Uzi tayari...!!
 
Mwaka huu nilitaka kugombea ila sina hela wakuu.

Labda 2030 tukijaliwa. Mniombeeni sana maana kama ningetoboa mwaka huu Trump angenijua , si kwa hayo matamko ya kumpiga biti.
 
Kiukweli jimboni kwa waitara CCM imekosa upinzani hata lile vibe la siasa ya upinzani halipo ni kama kuna chama kimoja jimboni
 
Jimboni kwa Waitara ndio jimbo lililokuwa la Heche?? Kama ndivyo, siamini kama kazi itakuwa nyepesi
Heche anasiasa nzuri pia ana kamdomo tatizo alipopewa nafasi alishindwa kuwatetea waliomchagua, kesi za wizi, mgogoro na NMGM, barrick, na mauaji ya vijana vikakithiri, miundombinu n.k Waitara kalithibiti ana nafasi kubwa
 
Utakuwa mgumu wakiamua uwe mgumu,unawafahamu vizuri hao?
Nape alishatoa siri za kambi, unachosema ni kweli, ruling party ya TZ ikiamua hata miaka 100 itafikisha bila kutoka madarakani
 
Niliwahi kuona wananchi wakimzomea Waitara jimboni kwake. Nimejaribu kuifatilia tena ile clip nimeikosa, nilitaman kuiangalia tena ili kujua kama ilikuwa ni siasa tu za kupandikizwa au walimaanisha
Heche anasiasa nzuri pia ana kamdomo tatizo alipopewa nafasi alishindwa kuwatetea waliomchagua, kesi za wizi, mgogoro na NMGM, barrick, na mauaji ya vijana vikakithiri, miundombinu n.k Waitara kalithibiti ana nafasi kubwa
 
Niangalia Bunge linavyokwenda na uchawa ulivyoshika kasi Mbunge ambaye naona ana uhakika wa kurudi bungeni kama upepo usipokuwa mbaya ni Waitara, Kingu, Msukuma na Shigongo.

uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana
Harudi,tunaomjua tumeona alivyotuuza na kununuliwa na adui zetu na adui za watanzania.
 
Niangalia Bunge linavyokwenda na uchawa ulivyoshika kasi Mbunge ambaye naona ana uhakika wa kurudi bungeni kama upepo usipokuwa mbaya ni Waitara, Kingu, Msukuma na Shigongo.

uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana
Magoli ya mkono yatakuwa mengi
 
Niangalia Bunge linavyokwenda na uchawa ulivyoshika kasi Mbunge ambaye naona ana uhakika wa kurudi bungeni kama upepo usipokuwa mbaya ni Waitara, Kingu, Msukuma na Shigongo.

uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana
Msambatavangu je? Mambo anayoyapenda ndiyo yana draw sana attention ya watu hata makanisani
 
Nape alishatoa siri za kambi, unachosema ni kweli, ruling party ya TZ ikiamua hata miaka 100 itafikisha bila kutoka madarakani
SIO RAHISI KIHIVYO KUMBUKENI MUNGU WA KUGEUZA TARATIBU YUPO (MITHALI 19:21). UNAKUMBUKA KILICHOMTOKEA BLAISE COMPAORE KULE BUKINAFASO? NA LEO HII TUNAYE CAPTAIN TRAORE NA NCHI IMELIPA MADENI YOTE YA MABEBERU. CHAMA CHA MAKBUSI JAKITAAMINI KWANI MWANADAMU ANAPANGA NA MUNGU ANAPANGUA ANAWEKA ANAVYOTAKA YEYE!
 
Kiukweli jimboni kwa waitara CCM imekosa upinzani hata lile vibe la siasa ya upinzani halipo ni kama kuna chama kimoja jimboni
Maridhiano effect. Yule bwana alituagiza tusimseme vibaya samia.
 
SIO RAHISI KIHIVYO KUMBUKENI MUNGU WA KUGEUZA TARATIBU YUPO (MITHALI 19:21). UNAKUMBUKA KILICHOMTOKEA BLAISE COMPAORE KULE BUKINAFASO? NA LEO HII TUNAYE CAPTAIN TRAORE NA NCHI IMELIPA MADENI YOTE YA MABEBERU. CHAMA CHA MAKBUSI JAKITAAMINI KWANI MWANADAMU ANAPANGA NA MUNGU ANAPANGUA ANAWEKA ANAVYOTAKA YEYE!
Hilo swala la burkinafaso kulipa madeni yote fuatilia vzuri utagundua ni propaganda.
 
Back
Top Bottom