Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 196
- 346
Utakuwa mgumu wakiamua uwe mgumu,unawafahamu vizuri hao?uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana
Uzi tayari...!!Niangalia Bunge linavyokwenda na uchawa ulivyoshika kasi Mbunge ambaye naona ana uhakika wa kurudi bungeni kama upepo usipokuwa mbaya ni Waitara, Kingu, Msukuma na Shigongo.
uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana
Jimboni kwa Waitara ndio jimbo lililokuwa la Heche?? Kama ndivyo, siamini kama kazi itakuwa nyepesiKiukweli jimboni kwa waitara CCM imekosa upinzani hata lile vibe la siasa ya upinzani halipo ni kama kuna chama kimoja jimboni
Heche anasiasa nzuri pia ana kamdomo tatizo alipopewa nafasi alishindwa kuwatetea waliomchagua, kesi za wizi, mgogoro na NMGM, barrick, na mauaji ya vijana vikakithiri, miundombinu n.k Waitara kalithibiti ana nafasi kubwaJimboni kwa Waitara ndio jimbo lililokuwa la Heche?? Kama ndivyo, siamini kama kazi itakuwa nyepesi
Nape alishatoa siri za kambi, unachosema ni kweli, ruling party ya TZ ikiamua hata miaka 100 itafikisha bila kutoka madarakaniUtakuwa mgumu wakiamua uwe mgumu,unawafahamu vizuri hao?
Heche anasiasa nzuri pia ana kamdomo tatizo alipopewa nafasi alishindwa kuwatetea waliomchagua, kesi za wizi, mgogoro na NMGM, barrick, na mauaji ya vijana vikakithiri, miundombinu n.k Waitara kalithibiti ana nafasi kubwa
Harudi,tunaomjua tumeona alivyotuuza na kununuliwa na adui zetu na adui za watanzania.Niangalia Bunge linavyokwenda na uchawa ulivyoshika kasi Mbunge ambaye naona ana uhakika wa kurudi bungeni kama upepo usipokuwa mbaya ni Waitara, Kingu, Msukuma na Shigongo.
uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana
Magoli ya mkono yatakuwa mengiNiangalia Bunge linavyokwenda na uchawa ulivyoshika kasi Mbunge ambaye naona ana uhakika wa kurudi bungeni kama upepo usipokuwa mbaya ni Waitara, Kingu, Msukuma na Shigongo.
uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana
Msambatavangu je? Mambo anayoyapenda ndiyo yana draw sana attention ya watu hata makanisaniNiangalia Bunge linavyokwenda na uchawa ulivyoshika kasi Mbunge ambaye naona ana uhakika wa kurudi bungeni kama upepo usipokuwa mbaya ni Waitara, Kingu, Msukuma na Shigongo.
uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana
SIO RAHISI KIHIVYO KUMBUKENI MUNGU WA KUGEUZA TARATIBU YUPO (MITHALI 19:21). UNAKUMBUKA KILICHOMTOKEA BLAISE COMPAORE KULE BUKINAFASO? NA LEO HII TUNAYE CAPTAIN TRAORE NA NCHI IMELIPA MADENI YOTE YA MABEBERU. CHAMA CHA MAKBUSI JAKITAAMINI KWANI MWANADAMU ANAPANGA NA MUNGU ANAPANGUA ANAWEKA ANAVYOTAKA YEYE!Nape alishatoa siri za kambi, unachosema ni kweli, ruling party ya TZ ikiamua hata miaka 100 itafikisha bila kutoka madarakani
Maridhiano effect. Yule bwana alituagiza tusimseme vibaya samia.Kiukweli jimboni kwa waitara CCM imekosa upinzani hata lile vibe la siasa ya upinzani halipo ni kama kuna chama kimoja jimboni
Hilo swala la burkinafaso kulipa madeni yote fuatilia vzuri utagundua ni propaganda.SIO RAHISI KIHIVYO KUMBUKENI MUNGU WA KUGEUZA TARATIBU YUPO (MITHALI 19:21). UNAKUMBUKA KILICHOMTOKEA BLAISE COMPAORE KULE BUKINAFASO? NA LEO HII TUNAYE CAPTAIN TRAORE NA NCHI IMELIPA MADENI YOTE YA MABEBERU. CHAMA CHA MAKBUSI JAKITAAMINI KWANI MWANADAMU ANAPANGA NA MUNGU ANAPANGUA ANAWEKA ANAVYOTAKA YEYE!
Alishamalizana na mwenzake ambaye kaongezewa nguvu hivi majuzi?Waitara