Pre GE2025 Mbunge Bwege adai busara za Freeman Mbowe hazina maana yoyote. Nchi hii busara itatufikisha?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege adai busara za Freeman Mbowe hazina maana yoyote katika nchi hii, kumlinda mtu mwizi ndio busara hiyo?

"Yeye ni mtu wa busara, nchi hii ya busara, nchi hii busara itatufikisha? Busara yenyewe ipi? Kufichana, kulindana, kumlinda mtu mwizi ndio busara? Sio busara na wewe mwizi…."
Your browser is not able to display this video.
 
Mkweli, Mwadilifu na Muwazi
 
Maoni ya Mh. Bwege ni mazuri mno na nayaunga. Kwamba Mbowe anatumia busara na busara Haina maana Tanzania.

Maana yake ni kwamba yeye Bwege akiwa Mbunge na hata leo HAJAWAHI kuwa na busara kwa maana busara Tanzania haitakiwi! Ahahahahaha!!!

Siwezi kushangaza kwanini uliitwa BWEGE!!!!!!
 
Ccm ukiwapa busara wanakupiga madole
 
Tafsiri yako, pengine hujamuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…