LGE2024 Mbunge Byabato atumia salamu za Kichina, Kijerumani, Kifaransa, Kiingereza, Kiswahili na Kihaya kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya Wazazi Ally Hapi.

Namuona Chief akiapishwa pale Dodoma. Byabato baada ya kuwa Waziri, akaacha kupokea simu, sasa ni zamu yake, hatupokei ujumbe wake.

Ameporomosha maghorofa Mwanza, Dodoma na Dar, amesahau kujenga Bukoba, pale kitendaguro ameweka ka kibanda ka kuzugia, ukiacha nyumba ya baba yake kule FFU
 
Kumbe ukiwa mbunge na waziri kwa muda mfupi unakuwa na uwezo wa kuporomosha maghorofa.
 
Dalili za kuchanganyikiwa hizi(wajuzi wa mambo wanasema tuweke mkazo kwenye mental health naona hoja yao ina mashiko sasa)

Bukoba mjini(ambayo 90 per cent ni Wahaya) lugha zinazotumika na kueleweka kwa wengi ni Kihaya,Kiswahili,Kiingreza(sio wote),kikiga,na lugha kadhaa za kiganda(sio wote) na kinyambo pia.Jambo langu linabaki kuwa hizi lugha nyingine alizitumia kwa kigezo kipi?(Kwa maana ujumbe wake kuna ambao utashindwa kufika kwa hadhira yake and the purpose of communication won't be achieved(wasted sperms) but kama lengo ni pride,I guess atakuwa sawa(but that shouldn't be primary goal)).
 
Namuona Chief akiapishwa pale Dodoma. Byabato baada ya kuwa Waziri, akaacha kupokea simu, sasa ni zamu yake, hatupokei ujumbe wake.

Ameporomosha maghorofa Mwanza, Dodoma na Dar, amesahau kujenga Bukoba, pale kitendaguro ameweka ka kibanda ka kuzugia, ukiacha nyumba ya baba yake kule FFU
Mambo imeanza kuchemka
 
Wakuu

Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya Wazazi Ally Hapi
Huyu dogo tangu Bumundabnape amponze hana amani, amechanganyikiwa na kukata tamaa.

Nilikutana nae som mnadani kalewa vibaya sana, hana tumaini la kurudi bungeni, sasa hv nikumpamba mama tu.
 
Namuona Chief akiapishwa pale Dodoma. Byabato baada ya kuwa Waziri, akaacha kupokea simu, sasa ni zamu yake, hatupokei ujumbe wake.

Ameporomosha maghorofa Mwanza, Dodoma na Dar, amesahau kujenga Bukoba, pale kitendaguro ameweka ka kibanda ka kuzugia, ukiacha nyumba ya baba yake kule FFU
Huyu ni tapeli achaneni naye
 
Back
Top Bottom