Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Namuona Chief akiapishwa pale Dodoma. Byabato baada ya kuwa Waziri, akaacha kupokea simu, sasa ni zamu yake, hatupokei ujumbe wake.
Ameporomosha maghorofa Mwanza, Dodoma na Dar, amesahau kujenga Bukoba, pale kitendaguro ameweka ka kibanda ka kuzugia, ukiacha nyumba ya baba yake kule FFU
Mambo imeanza kuchemkaNamuona Chief akiapishwa pale Dodoma. Byabato baada ya kuwa Waziri, akaacha kupokea simu, sasa ni zamu yake, hatupokei ujumbe wake.
Ameporomosha maghorofa Mwanza, Dodoma na Dar, amesahau kujenga Bukoba, pale kitendaguro ameweka ka kibanda ka kuzugia, ukiacha nyumba ya baba yake kule FFU
Huyu dogo tangu Bumundabnape amponze hana amani, amechanganyikiwa na kukata tamaa.Wakuu
Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya Wazazi Ally Hapi
Mmeshaanza zile sifa za kijinga za kihaya? Hamuonagi haya?Wakuu
Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya Wazazi Ally Hapi
Chief sidhani udiwani wenyewe ulikuwa utata.Kingine wanasema chief ni mnyambo(hapa ndio kazi yake inakuwa ngumu)Atulie ,chief lazima atinge mjengoni
Ni kweli chief ni mnyambo ,ukweli usipingika.Chief sidhani udiwani wenyewe ulikuwa utata.Kingine wanasema chief ni mnyambo(hapa ndio kazi yake inakuwa ngumu)
Hili ndilo litampa ugumu maana najua fitina za kihaya wakilitumia hili hawezi kwenda popoteNi kweli chief ni mnyambo ,ukweli usipingika.
Mpaka nishamtoa kwenye list ,sababu wahaya wakiamua kuwa na sababu alafu wakufitini hutoboiHili ndilo litampa ugumu maana najua fitina za kihaya wakilitumia hili hawezi kwenda popote
Huyu ni tapeli achaneni nayeNamuona Chief akiapishwa pale Dodoma. Byabato baada ya kuwa Waziri, akaacha kupokea simu, sasa ni zamu yake, hatupokei ujumbe wake.
Ameporomosha maghorofa Mwanza, Dodoma na Dar, amesahau kujenga Bukoba, pale kitendaguro ameweka ka kibanda ka kuzugia, ukiacha nyumba ya baba yake kule FFU
Ukipiga dili ya bilioni 5 utashindwa nini kufanya hayo yote?Kumbe ukiwa mbunge na waziri kwa muda mfupi unakuwa na uwezo wa kuporomosha maghorofa.
Ukipiga dili ya bilioni 5 utashindwa nini kufanya hayo yote?
Samia katoa wapi milioni 700 za kuwapa taifa star? amefanya biashara gani kama siyo kabeba mali za umma?ahaaa kumbe ni mwendo wa madili tu!