Elections 2010 mbunge chadema atoa gari

Elections 2010 mbunge chadema atoa gari

mareche

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
471
Reaction score
95
mbunge wa chama cha chadema jimbo la ilemela mwanza ameanza kutimiza ahadi alizotoa kwa wapiga kura wake kwa kutoa gari la kukbebea wagonjwa hongera sana mbuge mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema na watu wake
 
mmh imekaaje hii....Yote kwa yote ninampongeza sana kwa kuwajali wapiga kura wake kwa vitendo,hii ndo tunataka na sio kuwa wabunge vikao,sifa na posho.Naamini pia aliahidi mengi zaidi ya hili,ninamuombea kwa Mungu ampe moyo na uwezo wa kutimiza na hayo mengine pia....peoples power!
 
that is good we need more than that i know it is our time to fight for our independence najua wapo mtakaochonga lakini chadema ndo chama ambacho kitatuletea uhuru wa kweli na si wa mafisadi wa ccm.
 
viva le' chademaaaa..... Kina majimshindo, kishongo, marelia sugu, kupeng'e, na wana ccm wengine, pole sanaa.....mtazidi kuumia roho tu
 
Mungu akuzidishie kwa kuhurumia walalahoi ambao wengi wako taabani kimaisha na magonjwa kedekede.
 
Back
Top Bottom