Mbunge CHADEMA: Tuhoji kila kitu, asimulia alivyoshinda Ubunge 2020

Mbunge CHADEMA: Tuhoji kila kitu, asimulia alivyoshinda Ubunge 2020

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
02 December 2022
Sumbawanga, Rukwa


Mbunge pekee wa CHADEMA Mh Aida Khenan aelezea mbinu alizotumia mpaka kushinda ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020

Hali ilikuwa mbaya baada ya CCM kubaini mbunge wa CHADEMA ameshinda, wengi waliswekwa mahabusu lakini wananchi wa Sumbawanga walisimama kidete hadi ushindi wa mbunge wa CHADEMA ukatangazwa 2020

Alishuhudia jinsi mkurugenzi anayesimamia uchaguzi akihangaika kubadili matokeo ya ubunge 2020 pia makaratasi ya kura za uchaguzi 2015 yalijaribu kutumika kuongeza kura zilizopigwa 2020 ....

Source : NYASA YETU
 
Kwa nini Mbowe hakutumia hizi mbinu kushinda?
 
Namkubali sana huyu mbunge wa Namanyele

Amenikumbusha 1995 tulivyolinda Ubunge wa mwalimu Kibassa pale Iringa Municipal!
 
Unapokuwa Rais unakuwa ni 'mali ya umma' , mambo yako hayafi ukifariki. Utasomwa vizazi na vizazi kama anavyosomwa George Washington,Iddi Amino , Hitler,Nyerere nk.

Iwe kwa mazuri au mabaya.

Ni upeo mdogo wa kiakili kusema amepumzika asisemwe kwa vile hakuna kitakachobadilika.

Akisifiwa hausemi kuwa amepumzika kwa hiyo sifa hazitamfikia.
 
Back
Top Bottom