Unapokuwa Rais unakuwa ni 'mali ya umma' , mambo yako hayafi ukifariki. Utasomwa vizazi na vizazi kama anavyosomwa George Washington,Iddi Amino , Hitler,Nyerere nk.
Iwe kwa mazuri au mabaya.
Ni upeo mdogo wa kiakili kusema amepumzika asisemwe kwa vile hakuna kitakachobadilika.
Akisifiwa hausemi kuwa amepumzika kwa hiyo sifa hazitamfikia.