LGE2024 Mbunge Cherehani akabidhi Mabati kwa Bodaboda Nyamilangano

LGE2024 Mbunge Cherehani akabidhi Mabati kwa Bodaboda Nyamilangano

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani akikabidhi Mabati bando 10 kwa ajili ya Ujenzi wa banda la kituo cha Madereva wa Pikipiki (Bodaboda) Kata ya Nyamialangano.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mbunge Cherehani akabidhi baiskeli kwa wakulima 40 ziwasaidie kufatilia mwendo uzalishaji pamba msimu wa 2024/2025. Rushwa inazidi kutamalaki!

Cherehani amekabidhi Mabati hayo kwa Mwenyekiti wa Bodaboda hao Charles Muhoja leo Novemba 25, 2024.
IMG_0976.jpeg
 
Back
Top Bottom