Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Nov 27, 2024 #1 Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani akikabidhi Mabati bando 10 kwa ajili ya Ujenzi wa banda la kituo cha Madereva wa Pikipiki (Bodaboda) Kata ya Nyamialangano. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Mbunge Cherehani akabidhi baiskeli kwa wakulima 40 ziwasaidie kufatilia mwendo uzalishaji pamba msimu wa 2024/2025. Rushwa inazidi kutamalaki! Cherehani amekabidhi Mabati hayo kwa Mwenyekiti wa Bodaboda hao Charles Muhoja leo Novemba 25, 2024.
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani akikabidhi Mabati bando 10 kwa ajili ya Ujenzi wa banda la kituo cha Madereva wa Pikipiki (Bodaboda) Kata ya Nyamialangano. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Mbunge Cherehani akabidhi baiskeli kwa wakulima 40 ziwasaidie kufatilia mwendo uzalishaji pamba msimu wa 2024/2025. Rushwa inazidi kutamalaki! Cherehani amekabidhi Mabati hayo kwa Mwenyekiti wa Bodaboda hao Charles Muhoja leo Novemba 25, 2024.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Nov 27, 2024 #2 Wajinga waliwao Ova