Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Cherehani Emmanuel ameendelea na ziara ya kuwafikia Wananchi katika maeneo yao kutoa hamasa kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji Jimboni kwake ambapo leo mbali na kuwanadi wagombea ameshiriki pia shughuli za kilimo na Wananchi wa Kijijii cha Ihapula Kata ya Idahina.
Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji unatarajiwa kufanyika Jumatano Novemba 27, 2024.