Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Nov 27, 2024 #1 Mbunge wa Jimbo la Ushetu Cherehani Emmanuel ameendelea na ziara ya kuwafikia Wananchi katika maeneo yao kutoa hamasa kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji Jimboni kwake ambapo leo mbali na kuwanadi wagombea ameshiriki pia shughuli za kilimo na Wananchi wa Kijijii cha Ihapula Kata ya Idahina. Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji unatarajiwa kufanyika Jumatano Novemba 27, 2024. Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Cherehani Emmanuel ameendelea na ziara ya kuwafikia Wananchi katika maeneo yao kutoa hamasa kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji Jimboni kwake ambapo leo mbali na kuwanadi wagombea ameshiriki pia shughuli za kilimo na Wananchi wa Kijijii cha Ihapula Kata ya Idahina. Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji unatarajiwa kufanyika Jumatano Novemba 27, 2024. Your browser is not able to display this video.
zerominus10 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2022 Posts 8,142 Reaction score 13,721 Nov 27, 2024 #2 Picha hakuna
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Nov 27, 2024 #3 Wajinga waliwao Ova