Yaani nimekula msuli wa PCB nikahenya miaka mitano + internship napambana nakuwa specialist halafu mpumbavu mmoja asiyejua umuhimu wa daktari anafanya decision jinsi nitakavyolipwa??
I swear nikimkuta mbunge Jamii ya cherehani casuality, castration ndio mpango mzima ili asizae wapumbavu wenye mawazo kama yake.
Hoja yake ni kwenye Hospitali za Umma. Kwanini kumuona Daktar unalipa kuanzia 5k hadi 30k?.
Wakat Serikali inamlipa Daktar.
Sera ya taifa ya Afya inasema Kwa Hospital za Umma, mwananchi anapaswa kuchangia gharama kidogo ya matibabu kwenye kila stage .
(Kuandikisha kumuona daktar, vipimo, iwe vidogo au vikubwa kama xray , mri nk. Na matibabu. Iwe dawa au upasuaji).
Ila hivi viwango vimetofautiana.
Ipo haja ya kuweka vikawa fixed.
Hasa kwenye dispensary na kwenye hosp kubwa na za Rufaa.
Nakumbuka sera inasema wajawazito, Watoto under 5 yrs of age na wazee over 65 yrs hawa ni bure kumuona dokta. Ila gharama kidogo utaingia kwenye vipimo na madawa.
Je hili linafanyika?.
Bima ya afya kwa wote ni mapema kuihukumu. Last week nimezisoma package zake. Zinaanzia 192k kwa mwaka kwa kaya moja ya watu 6.
Mmmh hii itakuwa ya Hovyo tu.