Pre GE2025 Mbunge Esther Midimu: Waziri Mkuu nakutuma kwa Rais ikimpendeza Jina la Mbunge Njalu Silanga lipite bila kupingwa

Pre GE2025 Mbunge Esther Midimu: Waziri Mkuu nakutuma kwa Rais ikimpendeza Jina la Mbunge Njalu Silanga lipite bila kupingwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
"Nampongeza mbunge wangu Njalu Silanga anafanya kzi nzuri sana. Mh. Rais ananifahamu vizuri mimi ni mwanaye nikisema kitu hakina longolongo, Waziri Mkuu nakutuma kwa Mh. Rais mimi mwanaye namuomba kwamba ikimpendeza Njalu jina lipite bila kupingwa"

Mbunge wa viti maalumu Esta Midimu

Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025


Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Matukio ya Rafu za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Hawa wabunge wa ''vitu'' maalum ni hovyo kweli kweli. Wanadhani kila binadamu anaishi kwa kutumia ''vitu'' maalum.
 
Zile bati za shule kule Mwa.tani ameziongelea? Kuwa alizitoa kwa hasira ya kutichaguliwa
 
Back
Top Bottom