The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 896 Reaction score 1,427 Feb 15, 2025 #1 "Nampongeza mbunge wangu Njalu Silanga anafanya kzi nzuri sana. Mh. Rais ananifahamu vizuri mimi ni mwanaye nikisema kitu hakina longolongo, Waziri Mkuu nakutuma kwa Mh. Rais mimi mwanaye namuomba kwamba ikimpendeza Njalu jina lipite bila kupingwa" Mbunge wa viti maalumu Esta Midimu Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Your browser is not able to display this video. Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Matukio ya Rafu za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nampongeza mbunge wangu Njalu Silanga anafanya kzi nzuri sana. Mh. Rais ananifahamu vizuri mimi ni mwanaye nikisema kitu hakina longolongo, Waziri Mkuu nakutuma kwa Mh. Rais mimi mwanaye namuomba kwamba ikimpendeza Njalu jina lipite bila kupingwa" Mbunge wa viti maalumu Esta Midimu Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Your browser is not able to display this video. Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Matukio ya Rafu za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 Feb 15, 2025 #2 Hawa wabunge wa ''vitu'' maalum ni hovyo kweli kweli. Wanadhani kila binadamu anaishi kwa kutumia ''vitu'' maalum.
Hawa wabunge wa ''vitu'' maalum ni hovyo kweli kweli. Wanadhani kila binadamu anaishi kwa kutumia ''vitu'' maalum.
Ubaya Ubwela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 1,353 Reaction score 3,060 Feb 15, 2025 #3 Linaongea kama lijinga
Omulasil JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 8,015 Reaction score 10,269 Feb 15, 2025 #4 Zile bati za shule kule Mwa.tani ameziongelea? Kuwa alizitoa kwa hasira ya kutichaguliwa