Pre GE2025 Mbunge Festo Sanga akimuonesha fundi ujuzi wake wa kupangilia tofali wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Makete

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Naendelea kuwaletea vibweka vya viongozi wetu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Yaani ni mwendo wa maigizo tu utafikiri sasa hivi serikali ipo kwenye igizo la Mbio za Ubunge 2025 Azam Tv :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:

Kwahiyo lengo la picha hii nini? Kutuonesha umefika kukagua au una utaalamu mwingine huko tukupe maana umeshindwa kutuwakilisha wananchi bungeni?

1717850728357.png

===

Pia soma:

Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Mtegeme kuona vibweka vingi
Uchaguzi una karibia

Ova
 
Hakuna rangi tutaacha kuona mwaka huu..
Kuna mmoja amejigalagaza naskia hadi akaachia radhi na picha zinatembea mitandaoni kwa kasi ya mwanga...😜
 
Wakuu,

Naendelea kuwaletea vibweka vya viongozi wetu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Yaani ni mwendo wa maigizo tu utafikiri sasa hivi serikali ipo kwenye igizo la Mbio za Ubunge 2025 Azam Tv :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:

Kwahiyo lengo la picha hii nini? Kutuonesha umefika kukagua au una utaalamu mwingine huko tukupe maana umeshindwa kutuwakilisha wananchi bungeni?

===

Pia soma:

Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aache maigizo, ajenge mpaka jengo lote liishe
 
Back
Top Bottom