KERO Mbunge Francis Mtinga: Wananchi Mkalama wanafuata huduma za afya na shule umbali wa kilometa 70'

KERO Mbunge Francis Mtinga: Wananchi Mkalama wanafuata huduma za afya na shule umbali wa kilometa 70'

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mzee wa Code

Member
Joined
Sep 23, 2024
Posts
61
Reaction score
91
Mbunge wa Mkalama Francis Isack Mtinga ameuliza Swali bungeni Leo Novembar 4, kwa Naibu Waziri wa Tamisemi Zainabu katimba Kuwa ni lini Serikali itajenga Shule ya Sekondari na Kituo cha Afya Katika Kata ya Mwangeza Katika Jimbo la Mkalama Mkoa wa Singida.

Mbunge Huyu anaeleza kuwa wananchi wa kata hiyo wanalazimika kutembea umbali wa kilometa 70 kufata huduma za afya, akijibu swali ilo naibu waziri tamisemi ameeleza kuwa serikali ipo katika mchakato wa kuanza ujenzi wa kituo cha afya na shule ya sekondari.

Kata ya Mwangeza inakabiliwa na Tatizo la Huduma za Kukosa Kituo cha Afya hali inayosababisha wazazi kujifungulia njiani na Wanafunzi wa kike kupata mimba za utotoni kutokana na ukosefu wa Shule ya Sekondari.

Wananchi wa kata hiyo iliyopo Katika Jimbo la Mkalama wanapitia changamoto hizo uku Serikali ikabanaisha kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya ngazi ya kata na Shule za sekondari.

 
Na bado huwa wanachagua ccm ,waafrika ni laana katika uso wa dunia
 
Back
Top Bottom