#COVID19 Mbunge Francis Zaake akamatwa baada ya kutoa msaada wa chakula kwa wananchi wa Jimbo lake

#COVID19 Mbunge Francis Zaake akamatwa baada ya kutoa msaada wa chakula kwa wananchi wa Jimbo lake

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mbunge Francis Zaake amekamatwa na Polisi akidaiwa kutoa msaada wa chakula kwa wananchi wenye uhitaji jimboni kwake, jambo ambalo ni kinyume na maagizo ya Rais Yoweri Museveni ambaye hapo awali alitangaza kuwa Wanasiasa wanaogawa chakula kwa wananchi katika kipindi hiki cha mlipuko wa Virusi vya Corona wanaweza kufunguliwa mashtaka ya mauaji,

======

1587368884514.png


Police in Mityana District, Uganda on Sunday evening arrested Mityana Municipality legislator Francis Zaake for allegedly distributing food to his starving constituents.

The Wamala region police spokesperson, Rachel Kawala, said the MP was arrested on allegations of distributing food items to constituents in Buswabulongo, Busimbi Division in Mityana municipality contrary to the presidential directives.

Police said the MP had also flouted measures and guidelines of the Covid-19 national taskforce, led by Prime Minister Ruhakana Rugunda, on food distribution to vulnerable people.

"Today evening at 6 pm, we arrested the honourable Member of Parliament and he is kept in our custody at Mityana central police station for defying the president's directives," Ms Kawala said.

She said more details would be provided later by police spokesperson Fred Enanga.

The MP’s arrest comes hours after he posted that it was his conviction that government could still deal with starvation without “thieving” from the poor.

“I have been clandestinely giving out relief food items to my constituents, this I will not stop doing. In the same spirit, today we have successfully shared more food items in Mityana,” he said.

About four hours later, the MP tweeted that his home had been raided by security operatives.

“The tormentors have broken into my home, they are breaking every door of my house searching to arrest me for the crime of sharing food with starving people. Sad!” he said.

In a televised address recently, President Yoweri Museveni said politicians who distribute food to starving Ugandans during the virus lockdown face attempted murder charges.

The president said whoever wanted to contribute relief items ought to hand them over to the national taskforce.

On Sunday afternoon, Mr Zaake was seen moving door to door distributing food to his constituents.

Source: Daily Nation
 
Hawa ndio viongozi feki wa Africa makaburi yao yatafuka Moshi tu
 
Kimsingi, sio kwamba hao Wabunge wanakatazwa kutoa misaada kwa watu wao bali waliwaambiwa kwa kipindi kigumu kama hii, misaada ipelekwe kwa timu maalumu ambayo watagawa misaada kwa kuzingatia hali iliyopo ya COVID-19.

Hofu ya serikali ya Uganda ni kutokea kama hiki kilichofanywa na huyu mtu wa CHADEMA siku chache zilizopita:-
Mbunge.jpg

Kule Twitter baada ya watu kum-tight akadai eti walichukua tahadhali zote! Sidhani kama kuna mjinga anayeweza kuamini kwamba hapo kuna taadhali ilichukuliwa!!

Hao ndo wanasiasa... upande mmoja wanajifanya kumlaumu Magufuli, huku nao wakifanya yale yale yanayoakisi kinachohubiriwa na Magufuli!
 
Back
Top Bottom