Mbunge Fyandomo Ashtukia Upigaji Ujenzi wa Stendi Tukuyu

Mbunge Fyandomo Ashtukia Upigaji Ujenzi wa Stendi Tukuyu

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Mbunge wa vitu maalum Mkoa wa Mbeya Suma Ikenda Fyandomo, ameshtukia mchezo unaofanywa na wataalamu katika ujenzi wa stendi ya mabasi katika Mamlaka ya mji mdogo wa Tukuyu Mkoani Mbeya, kwa kupanga tofali ndogo za nzege (PAVING BLOCK) zilizo chini ya kiwango hali inayo hatarisha ubora wa stendi hiyo.

Akizungumza mbele ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Fyandomo amesema aina ya tofali ndogo zinazo pangwa katika stendi hiyo hazina tofauti na zile zilizo pangwa katika ofisi za Halmashauri ya Wilaya hiyo, ambazo zimeharibika katika kipindi Cha muda mfupi kutokana na kutengenezwa chini ya kiwango hivyo hupukutika na kubaki mchanga pekee.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ametoa masaa 24 kwa Mhandisi wa Halmashauri hiyo kutoa tofali hizo zote zilizo chini ya kiwango na kuzuia malipo yote ya mzabuni aliye uza utofali hizo.

bima-pc-data.jpg
 
Back
Top Bottom