NEUROANATOMIST
Senior Member
- Jul 10, 2022
- 134
- 239
Heshima kwema JF
Moja kwa moja kwenye hoja, zamani wananchi walikuwa wanaibua uozo uliko ndani ya wizara, mkoa, wilaya, Idara au hata mashirika ya umma kwa kutoa siri ya kinachoendelea kwa wabunge wa upinzani iliwanjenge hoja na kulisidia taifa kutokana hali hiyo. Rejea Richmond, chuo cha KIU, Dowans, etc ambapo Wabunge makini waupinzani Enzi hizo ZITTO KABWE, DAVID KAFULILA, JOHN MNYINKA, EZEKIEL WENJE walikuwa wanapewa siri na kuzipenyeza bungeni na mara mambo yana tatuliwa.
Mimi na wenzangu tunajambo zito katika wizara moja ya muhimu sana hapa nchini, kiuzalendo tulifuata taratibu zote kwa kutaarifu kutoka ngazi za chini husika mpaka waziri mwenye dhamana tulimwandikia barua lakini ni takribani mwaka mzima haja jibu malalamiko yetu. Tukimpigia simu hapokei tukituma sms hajibu, tukiandika barua pia hajibu tuliamua kumfuata ofisini bado hatukufanikiwa kuongea naye.
Tuliwakumbuka wabunge wa upinzani, tulitamani jambo hili lingetokea Enzi za akina LISSU, JOHN HECHE. Tunateseka tunatamani jambo letu lifike Bungeni lakini Wabunge wa CCM wanalindani lazima majibu ya hasi yatapatikana kinyume na matarajio. Tunatamani kwenda mahakamani lakini hatuna hela ya kutosha kuendesha kesi na kuwalipa mawakili. Ni watanzania tunaoishi kama wakimbizi katika nchi yetu.
Kwenu JF naomba mtusaidie MBUNGE gani tunaweza kumuona nakatufikishia hoja yetu BUNGENI?