The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mbunge wa jimbo la Geita mjini Constantine Kanyasu amesema mtu anayetumia pesa nyingi kutafuta uongozi maana yake anatarajia kuiba baada ya kupata uongozi huo.
Hayo ameyazungumza Machi 8, 2025 akiwa kwenye kikao cha ndani Cha Halmashauri kuu ya CCM tawi la katoma kata ya Kalangalala mjini Geita.
Kanyasu amesema " Ukiona mtu anatumia gharama kubwa sana kutafuta uongozi, anachokitafuta cha kwanza ni kwenda kuiba, Mapato ya miaka mitano Bungeni hayafiki milioni 600, lakini mtu anatumia bilioni 3 kutafuta cheo hicho - hiyo ni biashara gani?" alihoji.