Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ubinafsi uliopituka mipaka kabisa.Hawa watu ni wabinafsi sana
Kwani wanaenda kucheza mieleka majukwaani?Hawa watu ni wabinafsi sana
Akili za kipumbavu sana hzMbunge wa Jimbo la Bunda Bonface Mwita Getere leo Bungeni Jijini Dodoma ametaka Bima ya Afya kwa Wabunge ifike muda wa matumizi yake hadi mwezi wa 11.
Soma, Pia: Mbunge Francis Mtinga ataka wananchi wakatwe asilimia 10 ya kila vocha anayonunua kusaidia kwenye mfuko wa bima
"Mheshimiwa Mwenyekiti nilitaka nijue kifurushi cha Bima ya Afya kwa Wabunge. Bima ya Afya kwa Wabunge inaupendeleo sana, Serikali inaisha mwezi wa 11, sisi Bima ya Afya hapa inaisha mwezi wa 7, yaani we Mbunge upo kwenye harakati za kugombea Bima ya Afya imeisha ukiugua unafia hapo. Bima ya Afya kwa Wabunge na yenyewe iende hadi mwezi wa 11"