Aise tutashangaa @Kigwangala kama hata swekwa ndani na kufilisiwa, jamaa alifuja HATARIIII...Hakuna aliyejuu ya sheria hapa nchini, maana kuna watanzania wengi walishahukumiwa na kupoteza kazi sababu ya matumizi mabaya ya ofisi.
Sasa huyu ndugu Kigwangala ambae alikuwa waziri wa maliasili na utalii na alitumia vibaya ofisi kulipa mabilioni kulipa aliodai kuwa wadau wa utalii na hakufuata taratibu kwa nini asihitakiwe?
Kumbe sasa tunapata jibu kuwa hata chuki zake kwa hayati JPM ni sababu alitoswa uwaziri kwa sababu ya uozo wake.
"Wapinzani wamechelewesha maendeleo ya Tanzania"Unajua kama hayati magufuli ange weza kuwasikiliza wapinzani bungen mle bac hakika angewakamata lkn sasa hayati hakutaka kuwasikiliza wapinzani...mfano swala la hamisi na ilee kampeni yake ya Tz unforgetable + kili challenge nakumbuka mchungaji Msigwa aliuliza hili kwann serikali ina tumi fedha nyingi kwa kigezo cha kutangaza utalii wa ndani kwa kuwatumia wasanii ambao hata lilongwe malawi hawajulikani ..lkn watu wakaona msigwa boya leo yamefumuka
Na isitoshe huu umekuwa ni mchezo wao wanatajwa ktk ripoti hizi hakuna action zinazo chukuliwa ndio maana wana dunda mjini
Mnatafuta awaloge,huwa anapenda waganga wa kienyeji sanaHakuna aliyejuu ya sheria hapa nchini, maana kuna watanzania wengi walishahukumiwa na kupoteza kazi sababu ya matumizi mabaya ya ofisi.