Mbunge Ibrahim Abiriga ametakiwa kufika Mahakamani kwa tuhuma za kukojoa hadharani

Mbunge Ibrahim Abiriga ametakiwa kufika Mahakamani kwa tuhuma za kukojoa hadharani

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
Mbunge Ibrahim Abiriga ametakiwa kufika Mahakamani kwa tuhuma za kukojoa hadharani, yeye ajitetea asema alikuwa amezidiwa.

mbunge + ug.jpg
uganda.jpg
 
Sukari labda inamtesa, unless mtu mzima huwezi fanya hayo
 
MHH, KWELI TATA MUSEVEN NA GOVT. YAKE WAKO VERY STRICT!. ILA, HIVI HUYU HATAKUWA MBUNGE WA UPINZANI KWELI?!...
 
Back
Top Bottom