Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Tulianza Ziara ya Kikazi kwenye Vijiji na Vitongoji vya Tarafa ya Igurubi tarehe 10 Julai, 2023. Tumefanya Mikutano Thelathini na Sita (36) Tumeongea na Wananchi, Tumesikiliza kero na kuzipatia ufumbuzi. Baadhi ya kero zinaenda kwenye utaratibu wa kiserikali kupatiwa ufumbuzi.
Mmetupa ushirikiano mkubwa, Mmejitoa na Hamkutuacha. Wananchi Wamejitokeza kwa Wingi kwenye Vikao na Mikutano.
Kwa Niaba ya Timu yote inayoambatana na Mbunge wa Jimbo la Igunga, Ninasema Asanteni Sana Tarafa ya Igurubi. "MPEWE MAUA YENU "
Kituo Kinachofuata ni Tarafa ya Igunga.
Nicholaus George Ngassa
Mbunge wa Jimbo la Igunga