Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Amekuwa mbunge huko kwa muda gani?Wakizungumza wakati wa ziara aliyofanya Mbunge wa Jimbo hilo katika Kata Funta yakusikiliza kero na kuzitatua. Wananchi hao walikuwa wanalazimika kutafuta maji umbali mrefu wa kilometa 4 kitu ambacho kilikuwa kinapelekea kuhatarisha maisha yao.
Kwahiyo kipindi chote walikuwa hawana maji na yeye walimpa kurq ili ale na familia yake mema ya nchi, nitawashangaa sana mkimchagua tena akafaidi mema ya nchi.Wananchi wa Kata ya Funta Halmashauri wilaya ya Bumbuli wamemshukuru Mbunge wa Jimbo hilo January Makamba kwa kutatua changamoto kubwa ya maji iliyokuwa ikiwakabili.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wakizungumza wakati wa ziara aliyofanya Mbunge wa Jimbo hilo katika Kata Funta yakusikiliza kero na kuzitatua. Wananchi hao walikuwa wanalazimika kutafuta maji umbali mrefu wa kilometa 4 kitu ambacho kilikuwa kinapelekea kuhatarisha maisha yao.
Tena kama mbunge wa huku Dodoma Ntyuka barabara ya kwenda DCMC Ntyuka miaka nenda rudi inajengwa alafu mnaenda kumpa kura nitawashangaa sanaa, huyo Mbunge sijui Mavunde, yaan barabara hata haijulikani inaisha lini, nawaomba watu wa kipande hicho mchinje huyu mtu anajinenepesha na familia yake alaf ninyi mnaharibu magari yenu kwa barabara mbovuu,. Ifike magali muangalie wale wanaofanyakz angalau za maendeleo kwenye jamii yenu hao ndio mnaweza wapa kura. Hawa kama kina mavunde hawana msaada wowote barabara ina miaka zaidi ya mitano inajengwa tuu si ujinga huook. Mtahongwa wakati wa uchaguzi ila msikubali kwa mlo wa siku moja. Mmesikia wagogo na wahamiaji wa kipande hicho cha Ntyukaaa.Kwahiyo kipindi chote walikuwa hawana maji na yeye walimpa kurq ili ale na familia yake mema ya nchi, nitawashangaa sana mkimchagua tena akafaidi mema ya nchi.
Ya serikali kupitia wizara ya majiUlitaka nani akatatue na kwanini wamemshukuru kwani ilikuwa ni kazi ya nani kuitatua?