Mbunge Jerry Silaa na ufafanuzi wa Askofu Bagonza

Mbunge Jerry Silaa na ufafanuzi wa Askofu Bagonza

Ugumu wangu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2021
Posts
1,685
Reaction score
3,552
''Bunge la TZ ndilo limekosewa lakini adhabu inaenda kwa bunge la Afrika

Mbunge ndiye kakosea, wanaadhibiwa wananchi wa Ukonga.

Asiyekatwa kodi kasema hakatwi, Kamati inalazimisha kusema anakatwa.''- Askofu Bagonza

IMG_20210831_193405.jpg

Hizi ndio PHD sasa
 
Badala ya kupangua hoja za Jerry kwa kutumia hoja Ndugai anatumia nguvu ya kiti cha uspika.
 
Aliye mtaka Mh Jerry Silaa aombe radhi kwa kutumia vyombo vya habari kajikuta anaomba radhi yeye bila kutegemea. Acha Mungu aitwe Mungu.
Wamemjadili mtumishi wa Mungu ambaye alikuwa anaongea na waumini wake kanisani mambo ya kiroho (maono) ambayo huwezi kudai ushahidi. Angeongea bungeni au mahali pengine popote na si kanisani, ingekuwa sahihi kumhoji. Tazama sasa sifa zilivyoletwa za kuifahamu dini mpaka hansard imerecord kuwa Yesu alikuwa na mke.
 
😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom