Mbunge Jerry Silaa na ufafanuzi wa Askofu Bagonza

Ugumu wangu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2021
Posts
1,685
Reaction score
3,552
''Bunge la TZ ndilo limekosewa lakini adhabu inaenda kwa bunge la Afrika

Mbunge ndiye kakosea, wanaadhibiwa wananchi wa Ukonga.

Asiyekatwa kodi kasema hakatwi, Kamati inalazimisha kusema anakatwa.''- Askofu Bagonza


Hizi ndio PHD sasa
 
Job Ndungai anaacha legacy yake pekeake.
 
Sasa huo ubunge wa Africa mashariki unahusika nini na kosa?!
Au wabunge wana wivu na mwenzako?! Kweli roho za korosho kila sehemu
Ndio hapo sasa
 
Badala ya kupangua hoja za Jerry kwa kutumia hoja Ndugai anatumia nguvu ya kiti cha uspika.
 
Aliye mtaka Mh Jerry Silaa aombe radhi kwa kutumia vyombo vya habari kajikuta anaomba radhi yeye bila kutegemea. Acha Mungu aitwe Mungu.
Wamemjadili mtumishi wa Mungu ambaye alikuwa anaongea na waumini wake kanisani mambo ya kiroho (maono) ambayo huwezi kudai ushahidi. Angeongea bungeni au mahali pengine popote na si kanisani, ingekuwa sahihi kumhoji. Tazama sasa sifa zilivyoletwa za kuifahamu dini mpaka hansard imerecord kuwa Yesu alikuwa na mke.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Aliye mtaka Mh Jerry Silaa aombe radhi kwa kutumia vyombo vya habari kajikuta anaomba radhi yeye bila kutegemea. Acha Mungu aitwe Mungu.
Huyu ndio Mungu asiependa Kona SasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…