Mbunge Jerry Silaa na ufafanuzi wa Askofu Bagonza

Hivi Wabunge wote 300+ wanaona kilichofanyika ni sahihi kabisa mbele yao na mbele za MUNGU? Kama wanaona ni sahihi na hakuna hata mmoja anayepinga hadharani maamuzi hayo, basi kwa kweli "HATUNA BUNGE TANZANIA"

Na laana ya aibu hiyo ikimpendeza Mungu, awarudishie wao na vizazi vyao.
 
Hakuna bunge hapo mkuu Ila Kuna kikundi Cha wezi tu wanaiba fedha zetu kwa kujiita wabunge
 
Mbunge ndiye kakosea, wanaadhibiwa wananchi wa Ukonga.

Asiyekatwa kodi kasema hakatwi, Kamati inalazimisha kusema anakatwa.''-

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Tazama sasa sifa zilivyoletwa za kuifahamu dini mpaka hansard imerecord kuwa Yesu alikuwa na mke.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Huyu askofu nae ujuaji ukizidi anakuwa Mpumbavu ilimradi kila kitu yeye hupinga tuu.

Mtu aliulizwa hajui hata salary yake anakomaa kupaka Bunge matope,tena kaulizwa ulipokuwa Meya posho ulikatwa kodi hapana,taja kwingine ambako mabunge yanalipa kodi ya posho hawezi.

Sasa mbunge kama huyu si ni mpumbavu? Amepoteza credibility ya kuwakilisha Bunge la Tzn kwenye Bunge la Afrika,waliimchagua ndio wamemtoa.

Sasa wewe askofu mpinzani kutetea ushenzi wa Slaa na wewe unakuwa mshenzi tuu.

Huyu askofu mda wote yeye ni siasa sijui Kazi yake anafanya saa ngapi.
 
Ila huyu jamaa ni askofu kweli? Au ndio ule uaskofu wa kina gwajima?
Hata mimi sijawahi muelewa,Hawa ndio wanaokuaga magaidi.Inafaa atafutiwe 18 kama za gwajima azimwe amekuwa mpumbavu Sana,huyu jamaa na machadema hawana tofauti kila kitu anapinga kwake hakuna jema.

Mshenzi kama huyu hawezi kuwa askofu wangu hata kidogo
 
Unayajua majukumu yake yote ama Hujui kuwa tangu enzi za manabii na mitume pia walitumia nafasi zao kukemea maovu
 
Unayajua majukumu yake yote ama Hujui kuwa tangu enzi za manabii na mitume pia walitumia nafasi zao kukemea maovu
Uovu upi anaokemea hapo? Hapa anatetea uovu au anakemea? Asifanye siasa kwa kichaka cha dini atanyofolewa
 
Chu
Chunga kinywa chako mkuu huyo Ni mtumishi wa Mungu angalia Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…