My Take,
Jamani wanandoa si vizuri kunyima utamu wa tendo la ndoa ππ
=======
Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msavatavangu amelitaka Bunge kuanzisha sheria ya kuwashughulikia watu waliozaa na kuwatelekeza watoto bila kuwapa msaada wa kiuangalizi.
Msavatavangu ameyasema hayo leo Agosti 30, 2024 wakati akichangia Muswada wa Sheria ya marekebisho ya sheria zinazohusu ulinzi wa watoto wa mwaka 2024.
Vilevile amewataka wanandoa kutonyimana tendo la ndoa akisema familia nyingi zimekuwa chanzo cha vitendo viovu vinavyochangiwa na kunyimana unyumba na kuingizana majaribuni.
Jamani wanandoa si vizuri kunyima utamu wa tendo la ndoaππ