Huyo mbunge hana lugha chafu kama wenzake.
Ni kweli hana lugha chafu kama za wabunge wa mbogamboga wasio na kitu kichwani!Huyo mbunge hana lugha chafu kama wenzake.
Ccm oyeee oyeee zaidiWe piga makofi,bungeni anaenda wa ccm
Zitto akauze mawese, ubunge atausikia kwenye bombaCcm oyeee oyeee zaidi
Tutashinda kwa mbinu majimbo ya upinzani
Mwaka huu tutatumia kitu kinaitwa"SHIKWAMBI" maana yake shinda kwa mbinu iwe jua au mvua
Sisi ni wazee wa shikwambi tutashinda tu
Tuna mbinu nyingi mwaka huu tunawapiga Shikwambi habaki mtu bungeni labda Zito na Mbatia
Serikali za mitaa tuliwapiga kitu inaitwa "KATA" Kwa ufupi ni katisha tamaa upinzani na wananchi na ilifanya kazi vizuri maeneo mengi walisusa tukashindaMaendeleo Hayana Chama
Kushangiliwa Ndiyo Nini, Ccm Ina Fitna Sana [emoji849][emoji57][emoji57]
Safi sana wewe ni MzalendoProf Jay ni mwanahiphop halisi, watu wa aina yake kuzuga hawawezi.
Wao ni black and white.
Magufuli anapiga kazi haswaaa, sema kuna baadhi ya maeneo watendaji wa serikali ndio wanazingua, uzuri akiwabaini harembi anawafumua tu.
Hii nchi tukipata kiongozi mwingine akaja na pozi za kuchekacheka, tutarudi miaka 60 nyuma. Kila kiongozi ajae, mwendo ni huu huu.
Ni mbunge wa mikumi siyo kilosaKwanini aliitwa Prof J na sio mbunge wa Kilosa?