Wacha ushamba.Ndio tatizo la akili za kushikiwa. Walimshangilia Prof. J na hawakumshangilia Joseph Haule.
Penda kujipa muda wa kuchanganua mambo yanayoingia au kuingizwa kwenye ubongo wako.
Huyo ni mbunge wa kilosa mjini,Mbunge wa Kilosa ni Mheshimiwa sana Mbaraka Bawazir, kama hujui basi chukua muda kidogo Google ikusaidie
View attachment 1492875
Mungu huyu mtu msamehe!Umechanganyikiwa wewe! Jimbo la Mikumi liko Kilosa SIO Kilosa iko jimbo la Mikumi.
29 Juni 2020,
Mbunge wa CHADEMA mkoani Morogoro leo ameonesha sababu ya wananchi wa Morogoro siyo tu jimboni kwake Mikumi kumkubali kwa kusema wazi bila woga changamoto zinazoikabili mkoa wa Morogoro.
Pia wananchi wameonesha kumkubali bila kujali vyama ikiwa mbunge anatetea maslahi ya ustawi wa wananchi kijamii, kiuchumi, kiafya na kielimu.
Nimekwambia taja ukomo wa Jimbo la Mikumi, taja vijiji kama Nyaranda, Mbamba, Ludewa, MyomboniWe hadi swali ndogo hili linakushinda ?Dah kwa kweli kazi ipo ,tokea lini kilosa ikawa ndani ya jimbo la mikumi? Alafu unajifanya unaifahamu morogoro
Huyo mbunge hana lugha chafu kama wenzake.
Kama utawekwa uwanja wa siasa ulio sawa safari hii magamba watalizwa vibaya sanaNaona kuna sura za watu wamevaa nguo za "mbogamboga" nyuso zao zinasema kabisa huyu jamaa anafaa tu kuendelea kutuongoza.
Kongole kwako Professor[emoji1307][emoji1307]
Ndio mzeeUzuri wa Profesa Jay sio mtu wa mihemko, anaongea facts tu, na yupo very humble hata CCM wenyewe wanalijua hilo. Atakaa sana Jimbo la Mikumi, maana anakubalika sana
Shida nyingine,Hilo tu la kusema kilosa ambayo ni wilaya eti iko ndani ya jimbo umejiaibisha ,ila sishangai maana upande wa kijani hamjambo kwa kutokujua vitu huku mkijifanya wajuaji ndo maana tunawakuta vilaza wengi wanapatikana kwenye chama chetu cha kijani
Hv uliifuatilia ile ziara au unapayuka tu? Wabunge wote wa mkoa wa morogoro walikuwepo, zaidi ya wabunge kumi na wote waliongea
Moja ya wabunge ambao siku zote wako karibu na wananchi ni prof Jay. Kuna muda huwa natamani angekuwa mbunge wangu.
Hawa akina sugu, mnyika n.k ni maneno mengi tu bungeni ila majimboni huko sijui kama wako karibu na wananchi kama alivyo Joseph Haule Mc shupavu wa mitulinga mkali wa rhymes mti mkavu.
Wapinzani wanaojielewa wameshasema watashiriki uchaguzi, na wapiga kura wanaojiamini wataenda kupiga kura, maneno yao kwamba hata mpinzani akishinda hawatamtangaza hayana maana, twende tukapige kura watuoneshe kwa vitendo watakavyoiba, kujifungia ndani ni utoto.
Mungu huyu mtu msamehe!
Anachanganya wilaya na Jimbo,
Twende, Nyaranda ipo wilaya ya kilosa, unajua iko jimbo gani?
Tuongee kama unaijua Kilosa na jimbo la mikumi
Ndio maana nikasema huko majimboni kwao sijui kama wako karibu na wananchi.Kama ni mbunge wako ni vizuri ukampa heshima yake lkn vile vile utakuwa huwatendei haki wapiga kura wa sehemu nyingine kwa kuwashushia lawama wabunge wao maana hujui nini wanawatendea wapiga kura wao.
Wabongo mna usenge sana, kwahio sahivi wana Chichiem mnawaita wabunge wa "Mbogamboga"Ni kweli hana lugha chafu kama za wabunge wa mbogamboga wasio na kitu kichwani!
Tofauti kabisa na yule mdhalilishaji wa jinsia ya kike! eti mkagombee wanaume! Eti wasukuma wawachukue wawapeleke porini! Ni kibaka tu atatoa lugha ya hiviMaelezo yake yanaakisi kapevuka,tofauti na wakora wengine wa chadomo
Naona JF haikufai maana ni kusanyiko la wenye ufahamu nawe hufit humo.Nimekwambia taja ukomo wa Jimbo la Mikumi, taja vijiji kama Nyaranda, Mbamba, Ludewa, Myomboni
Ekhe! Kwa hiyo Profesa alikuwa wapi, Jimboni kwake au sio jimboni kwake jana?Naona JF haikufai maana ni kusanyiko la wenye ufahamu nawe hufit humo.
Nini huelewi wewe? Unataja vijiji ili iweje?
Kwa taarifa yako, Kilosa ni wilaya na Mikumi ni jimbo la uchaguzi.
Wilaya moja inaweza kuwa na majimbo zaidi ya moja hadi matatu lakini Jimbo moja haliwezi kuwa na wilaya mbili.
Tafakari hapo nini chaweza kuwa ndani ya kingine!